
Mi ni msee wa shamba, na kazi ya kulima inanilipa poa. Hii si kazi ya wazee pekee, wasee, kuna doo kwa soil! Tuanze kupanda, kuvuna, na kujenga future safi. Vijanaa, msiogope jasho—shamba ni biashara. Kuja tuanze kuchafua mikono tukitafuta pesa legit!

0
0
0