Mi ni stude nafanya film/Video production, nkapata place neza put skills zangu into work na pia learn ineza kuwa fiti sana