Mi ni yule msee Miko na badge sita. Am always on MESH nikijenga wasee na ideas na advice
Hizi badges zimefanya niget visibility kutoka kwa partners wa MESH.
NEXT NI MODERATOR BADGE