Mi niko na 103 connections. Kati ya hizo zote 12 tumeongea kwa DM na nime-get #Gigs saba. Hii MESH ni deadly sana.