Mi nilianza nikiwa Gardener, nikiwa pale tu majob job, shule inafunguliwa na nikawa show naweza market wapate students, hivyo ndio job ikachange. After kuwa mzee wa marketing ya shule, job ya comp package trainer ikitokea na uyoo, nikajifix. Sahii mimi ni software Engineer nafanya full stack php, sql, html with js, Ajax. Pia nachapa android apps with Kotlin, xml ma compose, plus sahii niko najifunza flutter.
Low season Niko na workshop naunda furniture.
All is possible.
Take this verse, from paul, "I can do all things through Christ who strengthens me."
0
0
0