
Mi ningeadvice hivi:
- Tathmini gharama za kununua(cost price) Angalia gharama unayolipa kwa bidhaa unayonunua kutoka kwa wauzaji. Hii ni muhimu kwa kujua bei ya msingi ya bidhaa kabla ya kuongezea faida
- Ongeza faida(mark up)baada ya kujua gharama ya bidhaa, ongeza percentage ya faida unataka kupata. Example: ka unataka faida ya 20%, ongeza asilimia hio kwa gharama ya bidhaa. Hii itakusaidia kwa bei ya mauzo. Example: Gharama ya kununua kitabu : sh 500 Faida unataka:20% Bei ya mauza= 500+(20% of 500)= 100+500sh=600sh
- Chunguza bei ya washindani- Angalia bei za washindani wako kwenye maneno kama maduka zingine au pale online. Hii itakusaidia kueka bei inafaa na ushindani wa soko
- Punguza gharama za usimamizi- Usisahau kuhesabu gharama kama usafirishaji, uhifadhi, rent juu zinaeza kuathiru final price ya bidhaa
- Tumia software: Unaeza tumia modern software za biz kama Enterprise resource planning, Point of sale system, izi zitakusaidia pia kueka bei, kufuatilia sales, na kuongezea profit kwa kurahisi.
- Change bei as needed: Bei zinaeza badilika kutokana na kubadilika kwa bei za bidhaa au changes za soko. Hakikisha unaadjust bei often kulingana na Hali ya soko na gharama mpya
- Hakikisha unajua bei unalipa kwa Kila bidhaa ndio uhakikishe bei yako ya kuuza inaleta faida
0
0
0