Mi nlikua natrain kufunga ngoma ma3 bt since corona.. Ngori ikakam ikabidi tukalie mawe.. So sai nadu job kiasi zile napata, ka kuna vile naeza pata ideas ya kujimarket nta appreciate sana