
Mid-week plan imejipa 🔥🔥
Another Wednesday na tuko LIVE na #MESHMarketDay 🛒 Share kwa comments na community #Biz unafanya na pia skills na interests zako & your next customer, supplier, client au pia employer anaweza kua hapa💯 Even better, hii ni opportunity ya ku-build networks zako na like-minded MESHers! 🙌🏿
0
0
0