
Mid-year hustle hack yangu ni kutumia Google Forms + WhatsApp combo kama mini order system. š
š How it works: Niliunda Google Form simple kwa ajili ya placing orders (jina, location, product, mode of payment). Nimei-link na WhatsApp Bio na status. So kila mteja anaingia hapo, anaweka details zake, and boom ā info zote zinakuja kwa email in real-time.
ā Benefits:
Hakuna kuchanganyikiwa kwa WhatsApp chats mingi.
Orders ziko organized kwa spreadsheet ā easier ku-track.
Naweza jua nini inauzika sana, na pia ku-manage stock vizuri.
0
0
0