
Midnights usingizi ikikosa kukuja unajipatanga pale facebook ama youtube watching oddly satisfying videos. Sana sana hukua those 2 guys that are always building houses and pools in the bush hadi wewe unaanza kushangaa wetin be dis?😂. Jana after nmechoka and msoto imenigonga nikaona si I can make a compilation of those satisfying videos? 10 mins long each alafu nawaekea some satisfying music hapo. Nikifanya like 5 videos daily by the time hii mwaka inaisha ntakua nshaaingia monetization pale YouTube. Ama mnaona aje you guys?


0
0
0