Mih kitu naona Sally anaeza uza hapo stadium moja 1.Njugu 2.soda hizi ndogo 3.simsim 4.water 5.mikombero 6.mayai boiler Hizo ndo vitu naona Sally anaeza jaribu hapo juh ziko highly needed