
Mike ako na biz ya kuuza bikes.Mike alinichapia anadai logo imsaidie kuidentify biz yake na ikue unique kuliko zingine .Mimi huyooo nikachangamka na nikamuundia logo .Mike alifurahi sana na kazi yangu safi!
#graphicdesignservices #graphicdesign #posterdesign #logodesign #business #design #kazi #gig

0
0
0