
Mimi area code yangu ya upcountry ukuwa na challenge ya maji. So with the just concluded construction ya my concrete tank nimecheck vile imekuwa inasaidia sana community, juu saa hizi wasee wanachota maji from hapo kwa uraisi sana. Though had intended ya project yangu ya drip irrigation but with hii side yakucheck community members waiget help inanipea ile feeling ya: #MESHgiver
#MESHgivers #MESHChallenge
0
0
0