
Mimi biz yangu iko located in eastleigh... My biz inadeal mainly na eggs and smokies plus selling of fruits. With introduction ya hii curfew time ya biz imekua limited ju mostly biz yangu hukua imeshika starting from around 6 until late hours. Sai inabidi upunguze stock plus pia sazingine unakuta stock umeeka haijaisha so inaleta losses mob sana. Ninge appreciate sana if gava yetu ingecheki venye biz most ziko affected n atleast hii stori ya curfew itolewe ju inaaffect wasee vibaya. If mat zinabeba normal n clubs zimefunguliwa na pia churches na machuo ziko open then i dont see y gava isiache economy irun24/7 atleast watu wajaribu kujiinua
0
0
0