
Mimi hukuwa vocalist,
Journey yangu imekuwa interesting Sana ju actually sikujua nimekuwa nikilalia talent😅. Nilikuwa tu nalead praise and worship nikiwa shule but sikuwa na copy inaeza turn out to career. So one time nikasidikiza beste yangu fulani akiiishia studio for recording section then out of jokes wakanisho ni harmonize voice zake. Surprisingly iliturn out poa.. wakabambika mpaka wakanisho nipractice the whole song and Nika redo! That's how I knew naeza do great kwa music industry and so far nimekuwa featured kwa songs kadhaa pale some ziko YouTube!.
#MESHCreatives #ContentCreation #ThursdayThrowback
0
0
0