Mimi hustle yangu ni kuuza electricals na building materials kama una kamjengo niconnect haki ni kubaya huku nje bizna hiko chini sana