Mimi hutumia Google Calendar na voice reminders kusort daily tasks zangu. Kila usiku naongea to-do list yangu kwa Google Assistant, nayo inaniplan tasks na kuniremind bila stress. Hii imechange game yangu — hakuna kukosa deadlines tena!
Jaribu, ita kusaidia ku-manage time kama pro.
#HustleHack

0
0
0