
Mimi hutumia Social Media pages zangu kujenga wasee sana, so Juzi niliweka hii post pale kwa Facebook Page yangu.
Form ilikua ku show mafans wangu pale FB wajoin hii Community yetu ya nguvu. 💪🏾 Hapa wasee wako serious na wanajengana 🙌🏿 Nataka MESH ikue the next big thing in Africa.
I can't do this alone, lakini pamoja tunaeza #Jengana 🙌🏿 au vipi #TeamMESH
0
0
0