Mimi huundia wasee websites na systems according to specifications zao. So most of the work hukuwa ni lazima nikuwe online kubuy domains, kufanya hosting, system design and development then support. For one to make it online lazima ukuwe available when needed. Hakuna vile utashow client huna bundles, maybe kama ni extreme cases ya blackout ama network outage. Pia communication ni vizuri kwa client on progress of work done, requirements and updates. Pia unafaa ukuwe well read and researched on what you are doing sio kubahatisha, utapata referals mwenda na utakuwa umemake it.
0
0
0