Mimi huuza cosmetics na nataka kuongeza stock. Nikona savings but si enough. Nikiget 5k hivi nitatop up kitu 25k hivi na hio itakua enough