mimi huuza nguo karibu na shule na nlinotice si kuuza tu kwa shop unaeza pia zunguka from house to house sometimes zinasongaaa vibaya sana ama kucreate whatsApp groups pia then unashare products zako online
0