
Mimi huuza nguo za ladies mostly ni tops mitumba . Huwa na hawk na imekuwa ikinilipia my bills kwa mda sasa. But now i need to expand bizaa yangu atlist ni have my shop. The problem ni kupata capital ya kufungua shop . Any ideas naweza get kupromote my bizaa nitafurahi sana wana meshi
0
0
0