Mimi huwa nauza fresh fish.. Huwa na fish nakuuza but vile corona ilikam biz imerudi chini. Sina kakitu hata yakufungua biashara ingine. Nilikuwa napanga kufungua biz yakuuza viatu.