
Mimi kabla ni apply loan. Kuna a lot of stuff mimi u consider. Kuna hio aspect vital ya kama biz at the current state inaeza pay hio facility.
Then sasa na draw like budget ya what products ama area hio loan itakuwa utilized on with vitu kama projection ya vile biz ita perform after sasa loan, that way ndio nijue growth ya biz itakuwa aje.
Wasee tuko kwa biz am sure mtakubaliana na mimi accessibility ya loan ndio inamatter kama biz ita grow ama itakuwa stagnant.
#ShujaazBiz #MeshLoan #LoanGrowth
0
0
0