
Mimi kama Irene nimetumia mindsets ku achieve saving goals zangu nilitumia growth mindset set juu nilifikiria kuhusu future na nikamuambia nikienda something kidogo inaeza ni saidia in future pia nilichikua personal responsibility ya kutengeza person budget yangu nikajua tena dooh napata Kwa business na zenye na spend nikajiambia basic needs ndio muhimu pesa za wants na save na hivyo ndio Mimi hu manage ku save
0
0
0