Mimi kama Jeremiah Teddy nimeweza kufunzaa vijana kuhusu maswala ya SRH na wakapata huduma za afya na mimi mwenyewe binafsi nimeweza kuanzisha biashara ya kuuza magazeti eneo langu.