
Mimi kama Mesher , natoa shukrani kwa Meshers community kwa kuniinua kimawazo thru advice za kujenga biz .
Pia niliweza kupata loan ya 5k yenye imeniwezesha kuongeza stock za biz. Kwa sasa naona nikimake profits na pia naplan kuchukua another loan tu add more and more.
Tuko kimoja kijamii👍
0
0
0