
Mimi kama mkenya napenda agribusiness vinoma sana Hustle yangu online ni kuhusu fish(fresh tilapia) from lake victoria
Na pia najaribu kuingia kwa footware (slides) na other hustles zenye naona naweza fanya zinipe kaincome. Kwa market lazima ujitume ndio you make it, lazima ukuwe focused na business
0
0
0