Mimi kama mwana boda boda nimeshindwa kulipa loan ya piki coz tunategemea kuvukisha abiria kwenda upade was Uganda na boda imefungwa nisaidieni pliz