
Mimi kama mzae wa kipanda huwa natumia signs ama through whistling ku attract more customers. Time naona customers nikiwhistle nawa-attract na Kuna wenye hukam kununua kutoka kwa kipanda yangu. 2. Pia customers wakikam nakuwa always talkative ili kufurahisha customers wangu juu time unanuna customers wengine hawatarudi kamwe.
0
0
0