
Mimi mwenyewe I'm a living testimony,juu covid ilipo-hit Kenya most of companies apa Kenya zilichuja watu wengi kwa jobs zao. The company I was working for is among ya zenye zilichuja watu. Mimi nikajipata inje because nilikua kati ya wenye walichujwa. Luckily, nilikua nime-setup biz yangu. Mwenye nilikua nimeajiri by then ilibidi nimemuachisha kazi. Nikasimimia mwenyewe. Clinetele yangu nayo ilipungua sana because watu wengi hawakua na pesa kwa mfuko zao juu ya covid and the whole lockdown thing. Meanwhile, MESH ilikua imekam through na through partners wetu walikuja na program ya kucushion biz zetu, kupitia ShujaazBiz tulipata opportunities na maujanja za kulinda customers wetu. Kwa kweli ilitujenga sana kwa biz! Join MESH tujijenge pamoja, tuomoke pamoja tukichapa mboka!