Mimi naakikisha nimesave at least hata 10bob per day. Hata siku iwe mbaya aje najaribu niwezavyo kusave something na wakati siku ya biz Ni poa nasave something better. Hiyo imenisaidia sana na per month napata Niko na kakitu kwa account yangu.
0