
Mimi nabonga kuhusu umuhimu wa Kusave,,,,Kwa kila hustle enye unapiga irrespective ya income,,,,Saving ni kitu ya maana sana Since kesho hatujui vile siku itakua,,,,Emergencies skuizi ni kibao,,,kuSave ndo Form Wadau,,,,Nawatakia Wiki njema yenye mafanikio,,,,usisahau kuSave
0
0
0