Mimi naeza advice mayouth loan ni poa kama unaexpand biz uko nayo.juu ile pesa ukipewa hua kuna deductions zinatolewa kwa ivyo haupati doo yote.plan ni budget kenye unacho ju pia payment period yake ni mchache.sai vile uchumi ni noma mayout loan ndio inaeza tukomboa na tuomoke ausio jamaa
0
0
0