
Mimi naeza go for bizna yenye inatrend saa hii ya kuuza uji power.cha kwanza ni licence ya health ya 800.then ninunue ingredients na props needed..ingredients ni kama vile peanuts,milk,sugar ,cassava,arrowroot na pumpkin seed ..)then props za kuanza hio business ni kama blender ya 1500 ,jiko medium size ya 400,makaa ya 600 ya kuanza first days,thermos ya around 8l ya 1200 ,disposable cups za around 250,sufuria mbili za 1000.na serviettes za 120 .plus gloves za hygiene za 200. Ingredients zitacost around 4k juu ni mara ya kwanza so unanua in bulk ,plus props na licence . Preparation ya 8litres ya uji daily itakucost around 1000 .so profit per day itakua 8litres=32cups 32×60each cup=ksh 1920 So daily profit ni 920
Monthly profit ni 920×30=27600
Kwa business plan pia niko na location of customers nitakua nawauzia watu kwa madika so ni basically hawking Promotion channels nikama vile watsups Na after sales services kama vile free delivery around the location Product description ni uji power plus the ingridients. Type of business no hawking juj ni quite cheap and economy friendly. Hii itanipea chance ya kuweza kugrow business juu profit ni mob na the business ni easy so after some time naeza expand upate niko na more capital so naeza ieka ata kwa hoteli.
