
Mimi nafanya biz ya kibanda na kila wiki lazima niende tao kununua stock yangu ya nyanya,mboga na vitunguu. Venye prize ya mafuta ilipanda ili affect transport pia ika increase. But siwezi increase bei ya mboga ama nyanya ila na decrease quantity kiasi. But my customers wanacomplain Sana and inabidi niuze kama kawaida thus making a loss. Coz sitaki kupoteza customers
0
0
0