
Mimi nafanya kazi ya watchman lakini pesa inalipa nyumba , shule , chakula , kufika tarehe 20 pesa imeisha nikuanza madeni mpaka mshaara iingie nilipe deni Tena nianze kukopa natamani nikuwe na bodaboda lakini Sina pesa ya kununua Tena sijasomea kuendesha . Je Kuna msamaria yeyote aweza akatoa msaada . Naomba mnisaidie .
0
0
0