
Mimi naimba nyimbo za rap hip-hop na ninatoka Mombasani naimbia kwenye studio moja huku kwetu inayoitwa kubwa studios na usanii inachangamoto zake ila twashukuruu uzima na ukitaka kunitafuta husikilize mziki zangu nitafute kwa YouTube kupitia hii link na kama utaweza kunisubscribe nitashukuruu sana na Mungu awazidishie mkifanya ivo
Ama Don Tonny hapo kwa YouTube
0
0
0