
Mimi naitwa AMOHCANCOM story yangu ya kuwekwa CRB ni hii by 2020 due to covid 19 kazi kuisha nilitamaki nje nilijukua loan nikaunda paybill 755557 in the process system ni mpya hakuna customer sikuweza ku-meet regulations za loan muda niliopewa ukaisha Lakini mungu alinizaidia nikang'ang'ana nayo

0
0
0