mimi naitwa Benedetta Akacha kutoka Githurai 44, mi upenda biz ya fashion and desighn but sijacatchup na capital yote ndo naendelea kuinvest nione kama ntafikisha capital ya kuanza iyo biz