
Mimi naitwa Roy na ningependa kushare Hustle yangu,,,nimefuga kuku nikianza nilikua na kuku saba but uzuri nieti zilikua zinataga soo nilikua nauza mayai moja 15ksh soon per day nilikua namake 100Ksh soo nilikua nasave at the end of the week nakua na 500ksh alafu 200khs na buy unga ya kuku soo iyo 500 nabuy chicks za 500 of which izo ni tano juu moja ni 100 ,,,,soo sai nikona over kuku 90
0
0
0