
Mimi nashukuru mesh sana ju before niingie huku nilikuwa namek losses ju sikujua how to run a bizz. Sai nilipata advises on how to keep records, stock and also reduce debts. Pia nilipata chance ya kujengwa loan na ENEZA nikaongezea stock. So MESH imekuwa a success story to me so much. Wasee tuchangamke pamoja tunaweza! #MESH! Leggo! #SisiNiMESH
0
0
0