
Mimi natakanga kuaza biz ya poultry farming only that initial capital imekuwa ngori sana kupata. Nikibuy kuku 5 for example (4 mweras na 1 jogoo), I am very sure that before mwaka iishe nitakuwa na more than 5 times which goes to 25 plus. Depending on the demand, naeza amua niuze wote alafu I venture into some other biz but shida ni iyo initial capital maze though currently, najaribu kutafutatafuta hii capital. Any advice/support nitaappreciate sana.
0
0
0