Mimi naye sinanga pressure kwa hii life. I am always content with what i have. As long as nmekula, nmelala na nmevaa manguo sina stress. Learn to be content and utajua uko na alot of things to be thankful for. Hizi pressure za watu wacha wewe ishi maisha yako
0
0
0