Mimi ni barber, nafanya kazi ya kushave watu nywele,although hii kazi huwa na advantage na disadvantage mm bdo napambana Mayo coz hapo ndipo mm hutegemea