
Mimi ni designer wa gypsum na cabinets. Nadhani tukiplan tushikane kama wait 10 tunaweza fungus kampuni. That is tuwe na electricians, plumbers na architect. At least tukipewa nyumba tunafanya ukiwa kampuni na itatusaidia kuliko kila mtu kukaa peke take.
0
0
0