
Mimi ni Faith wakesho na hussle yangu Ni salon. Iko mombasa msikitnoor changamwe.Napenda kuwahudumia wateja wangu na very hospitality way ,Na hapa nilipo Ni kwa akili ya shujaaz hizi booklet zilifanya nikakuwa popular .Jambo lingine corona ilipokuja nilifanikiwa kupata dispenser ya kuosha mikono Basi wateja waliniamini sana. kwa
k.Akuwajalii.congradution Dj nimekua naifatilia meshers na nimepata ideas mob za buzz Sasa Ni kwenda mbele jasa boleh cerfew imetolewa na amini tutainuka pamoja #sisini mesh,#shujaazbiz.#safefromcorona,#temejanjaruka
0
0
0