Mimi ni member Wa mesh na shujaaz since 2017 manze,at times najipata stranded i need ka loan Ku restock stuffs za shop yangu kila nikitry kuloan uku inashinda ikinireject adi niligive up