Mimi ni mkulima wa kahawa, sometimes back niliitisha seeds Ruiru 11 nikapanda, after mimea kugrow niliona maajabu ya mchanganyiko Hadi breeds sijawaiona