
Mimi ni msee nawork kwa hardware pia huuza marangi yani nimeajiliwa and nalipwa pesa less monthly so after nimerealize Kuwa kuna saving flani so nkaamua niwe nafanya saving ya 1500k from my salary sasa nasaka place naeza save iyo doo for 18months bila ku withdraw for that months
0
0
0